iqna

IQNA

khatibu wa sala
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN(IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa leo hapa Tehran amevitaja vikosi vya usalama, jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) na kikosi cha jeshi la Basij kuwa nembo ya uwezo na nguvu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema: kudhuru uwezo wa mfumo wa Kiislamu ni moja ya malengo ya waibua ghasia.
Habari ID: 3476109    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/18

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN(IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran Hujjatul Islam Sayyid Ahmad Khatami amesema kwenye khutba za Sala ya Ijumaa kwamba, kufariki dunia mwananchi yoyote Iran jambo la kusikitisha na inabidi kuipa mkono wa pole familia ya marehemu.
Habari ID: 3475826    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/23